WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Aaaaaaah.

🤣🤣🤣🤣🤣 akining'oa meno jeeeee.
Anaanzaje kukuvunja Kwa mfano? ..hivi unajua kwamba kinachosikika sn hakina maumivu makali?
Namaanisha That Gentleman ananijua vizuri sn km Mimi ni back up yake maana analisika jina langu mara Kwa mara,so hawezi kustuka wala kuumia akisikia umetoka na Mimi😀..Angeumia na kukupiga km ningekuwa mchepuko mpya
 
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.

Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Mimi nakuja hapo Mbalari kesho
Tuonane gwa kumyitu
 
Sasa mm goroko nitoke hadarani nyinyi ambao siyo anonymous mkutane tu ila kwetu ss hpn aise Sasa HV siasa inakuwa uwadui pengine umetumwa na mwigulu nn
 
Sasa mm goroko nitoke hadarani nyinyi ambao siyo anonymous mkutane tu ila kwetu ss hpn aise Sasa HV siasa inakuwa uwadui pengine umetumwa na mwigulu nn
Unatoka tu mkuu
 
Back
Top Bottom