Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....
Anko ulinihukumu sasa dada yako ananiadhibu atakavyo kila tukutanapo.
Hahahaaaa... Anko mzururaji sana
Nilichokuwa nakitetea hata sikijui Wallah...
Hahahahahaha sawa muweka hazinaNjooni stendi,mimi nimetangulia na nauli.
Sawa,ndo nategemea wadau
Unaogopa nini mdogo wangu, ila kiukweli na mimi naogopa kidooogo [emoji12]Sis hata mie natamani sana kukuona ila naogopa
Wewe huogopi?
Karibu sana mkuu, ngoja nikuunge kwenye group letuNikiwemo mkuu,kushauri jobless
Umeona sasa 🤣Unaogopa nini mdogo wangu, ila kiukweli na mimi naogopa kidooogo [emoji12]
Ila hujasema unaogopa nini[emoji1787]Umeona sasa [emoji1787]
Mie sio kuogopa kama ile kuogoooopaIla hujasema unaogopa nini[emoji1787]
me pia mbeyaMbeya
Enheee kwahiyo tunakutana wapi jamani?
Hakuna anaetaka kuonana na mimi [mention]kelphin kepph [/mention]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pugu kajungeni.
Mimi nataka kuonana na wew mkuu