WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.

Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.

Anyway...

Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.

Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..[emoji39]
hawa waleo hawana adabu kabisaa,wakipewa wanatangaza wenzao tulikuwa tunakula kimyakimya
 
Depal

Cha utundu, mjanja sana keep it that way..
Nakukumbusha maji ya baridi hayaui mtu punguza uwoga 😜😅🤗

Uwe ni Eid njema...
😂😂😂 yan unajua naumwaaa!?? Ni mabaya sanaa…


Eid Mubarak to you too 🌙
 
Back
Top Bottom