Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎😎😎 Mi mgumu.. ila maisha yale ni kamzozo aisee….Unadeka sana... Ka mwili laini kama Sufi...
Pole mpendwa... Ndiyo maisha 🤗🤗
Wewe ni mchumba tu...😎😎😎 Mi mgumu.. ila maisha yale ni kamzozo aisee….
HahahaaUnaonekana kwa nadra kama kaka kuona
🤣🤣🤣 Tunakutana tu kama Ming'ombeTutajitambulisha id zetu au tunakutana tu Kama ming'ombe..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unanichekesha kama chizi huku ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Anyway Mambo yao waachie wenyewe!!
Yasikuumize kichwa!![emoji6]
Ndio hivyo mkuu mambo yao yasituumize kichwa [emoji23]Mkuu unanichekesha kama chizi huku ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Anyway Mambo yao waachie wenyewe!!
Yasikuumize kichwa!![emoji6]
Uzuri boss ledi wetu ni mzungu wa roho.Ndio hivyo mkuu mambo yao yasituumize kichwa [emoji23]
Kwakweli mrudi tuHahahaa
Nipo aisee...ila wote tumepotea sana.
Ngoja turudi sasa
Wadau sijui wamepotelea wapi, mi nipo siku hiziKwakweli mrudi tu