WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English

kwa hiyo shida yako ni kiingereza tu??

Okay, ofcourse, yes/no, Good morning how are you, are you fine?

Mimi nimemaliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa hiyo shida yako ni kiingereza tu??

Okay, ofcourse, yes/no, Good morning how are you, are you fine?

Mimi nimemaliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Morningn't
 
Povu la nini sasa wakati ndege wa aina moja huruka pamoja?

Nashukuru kunitaarifu umeielewa lugha ya shoga mwenzio
hahaaa kumbe waelewa kiswahili dadeq...
hicho ndio nilichokuwa nakitaka ..maana ulijinadi kuwa humuelewi anachokiongea..but samahani kwa choko choko..

kuitwa shoga wakati wewe sio shoga kweli.. hakuwezi kuleta tija yoyote yaku sababisha uumizwe na hiyo kauli..kazi njema
 
hahaaa kumbe waelewa kiswahili dadeq...
hicho ndio nilichokuwa nakitaka ..maana ulijinadi kuwa humuelewi anachokiongea..but samahani kwa choko choko..

kuitwa shoga kama wewe sio shoga hakuwezi kubadilisha ukweli kuwa wewe nishoga ..siku njema
Sawa dada. Msalimie mama. Alikuwa girl friend wangu kabla hujazaliwa.
 
daa i hev laghing for sound until peple have saprised you ar very fanny you
 
why your yourself right English ze song which you saying we spik to stop end emancipet our minds. why you say fee our mind and you say englsh youselfu
 
Mi huwa nina furaha siku zote. Sijapata kitu cha kuifuta furaha yangu
nimemaliza mkuu
ndio maana waoana nimejishusha na kuiruhusu busara initawale ...nisingepnda kuona watu wengine wanakereka kwakuona comment zangu zenye lugha chafu dhidi yako nakuwafnya wakwazike ...
nakwakuwa na jiheshimu na paswa kukuheshimu pia ..na huwa sipendi mipasho cus sio vazi zuri kwa mwanaume ...
haimaanishi kwamba sijui matusi hapana..but mwenye hekima huwa anajitahidi kuufcha ujinga wake mbele ya wenzake waliostaarabika...
 
Mungu aendelee kukujaza busara na hekima.

Siku nyingine usirudie kumtusi babu....

Utapata laana ya bure tu...

Amani itawale moyoni mwako... usitende tena dhambi.
 
daa i hev laghing for sound until peple have saprised you ar very fanny you
Am very happiest to see you laughing until your eyes pour some crying water.

Say goodmorning teacher to ze suprised people of your laughing.
 
why your yourself right English ze song which you saying we spik to stop end emancipet our minds. why you say fee our mind and you say englsh youselfu
Tatizo siyo kingereza boss....tatizo ni mindset/wrong thinking....

Kudhani kwamba kujua kingereza ndiyo kila kitu ni fikra potofu....maarifa ni zaidi ya lugha, lugha ni medium ya kufikisha maarifa, si zaidi ya hapo...
 
Sim yenyewe Huawei halafu unalazimisha tuchangie post zako
 
Am very happiest to see you laughing until your eyes pour some crying water.

Say goodmorning teacher to ze suprised people of your laughing.

daa i hev laghing again tru true meaning the secand coment witch yo heva mek i get out tears ok ok in inglish they sey neva say nevar again god nigh swet drims
 
Mungu aendelee kukujaza busara na hekima.

Siku nyingine usirudie kumtusi babu....

Utapata laana ya bure tu...

Amani itawale moyoni mwako... usitende tena dhambi.
hahaaa babu gani anamatusi ..babu ameruhusu nguvu ya ujana iliyompita iendelee kutawala kichwani mwake ...(kidding)

kazi njema..
 
[emoji445] They had no fear of atomic energy, is none of them can stop to time. How long shall they kill our prophet while we stand aside and look, woo[emoji445] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kingereza hiki huwa nakiskia kwa PLO Lumumba tu.......[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji442] [emoji442] [emoji443] ....
Some say it's just a part of it
We've got to fulfill the Book
Won't you help to sing
These songs of freedom?

'Cause all I ever have
Redemption songs

Redemption songs

Redemption songs
[emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…