Wanajf msaada kwa anayefahamu chuo kizuri cha Serikali kinachotoa kozi za afya

Wanajf msaada kwa anayefahamu chuo kizuri cha Serikali kinachotoa kozi za afya

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
201
Reaction score
159
Naomba msaada kwa anayefahamu anaisaidie nipate nafasi chuo cha afya cha serikali, maana nimeomba mpka nimechoka wizara ya afya lakini cpati nafasi na nina Credit 4 na pass 5 Sina F hata moja na katika hizo credit 2 za sayansi na mbili sanaa. Elimu yangu kidato cha nne
 
unataka kusoma nini huko afya ,dawa,uuguzi,maabara,(incineration, decapitation,amputation,enema!!!!???? Jokes)

Weka wazi interest yako!!!
 
Naomba na mimi kujulishwa kama ifuatavyo
1.wapi kwa kutuma maombi ya chuo cha afya eg vyuoni au wizaran?
2.vyuo vp ni vya serkal?
3.muda wa maombi kuanzia lini mpaka lini?
4.Kiwango cha ada kwa vyuo vya serkal
5.vigezo vinavyohitajka kutuma maombi
 
Back
Top Bottom