Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo la kutokwa na machozi mara tu nikiingia chooni, iwe naenda kwa ajili ya haja ndogo au kubwa na hata kama haja kubwa ni ya kawaida tu,ni mwaka wa 22 sasa naona hali ni ile ile.Naomba ushauri wenu wapendwa nimechoshwa na siipendi hali hii. Thank u in advance