WanaJF nahitaji ushauri wenu

WanaJF nahitaji ushauri wenu

tbl

Senior Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
116
Reaction score
41
Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo la kutokwa na machozi mara tu nikiingia chooni, iwe naenda kwa ajili ya haja ndogo au kubwa na hata kama haja kubwa ni ya kawaida tu,ni mwaka wa 22 sasa naona hali ni ile ile.Naomba ushauri wenu wapendwa nimechoshwa na siipendi hali hii. Thank u in advance
 
hold on!!.... yaani ile kufika tu kabla hata ya shughuli unapatwa na hali hii?
 
Thanx @Jeji
@Edson nikifika nikianza shughuli bas taratiiib chozi hilo had sometimes huwa najicheka mwenyewe
 
Pole ndugu,mi cjawasikia k2 kama hichi,sina msaada lakn utapata 2 suluhisho,usali pia
 
Thanx @ Mamzalendo
mwanzo nilikuwa najiuliza ht huko hosp ntajieleza vp bt kwa hali hii itabidi nifanye hvyo!
 
Back
Top Bottom