WanaJF, namtafuta mshana jr

WanaJF, namtafuta mshana jr

niah

R I P
Joined
Sep 26, 2015
Posts
7,019
Reaction score
9,295
Tangu Ijumaa nimemtafuta mdogo wangu Mshana jr. haonekani, hajibu vijembe, wala pm yupo wapi?.

Kuna uzi umekuja kama utani lakini mimi nipo serious naomba Mshana ajitokeze sababu kuna uzi aliutoa last week na mtu mmoja alikutishia kuwa u prove yale aliyokuwa anayasema kuhusu Lipumba na kuna vitu vingine.

Kuna member naye kamhusisha na kukamatwa kwa scorpion na kupotea kwake. Personally naomba nimsikie akirudi kwenye forum otherwise tutaanza kutafuta. Njoo Forum Mshana usitufanye watu tukachanganyikiwa.
 
😀😀😀
pale unaposahau password lzm watu wakuulizie😱😱
 
Nipo Nae Hapa Kilingeni

Nikiwa kama msemaji wake

kwa ufup Kabisa

kuna kaz anaifanya Hapa Kilingeni Akimaliza Atakuwa kwa hewa
 
Back
Top Bottom