kwa niaba ya Wamjengoni, tunasikitika kwamba hadi sasa mshindi hajapatikana.... zawadi bado ipo na washiriki wasikate tamaa wasubiri swali jingine toka kwa Wamjengoni...
Unataka namba ya demu fulani hivi unayemzimia hapa Jf sema mpaka sasa hajacomment.
Akicoment tuu chochote utamtangaza ndio mshindi ili umwambie atumie namba umuM-pese then baada ya hapo the deal is done.