WanaJF naomba kukumbushwa; zawadi nono kupitia M-PESA, Tigo Pesa, au Airtel Money kwa atakae patia

WanaJF naomba kukumbushwa; zawadi nono kupitia M-PESA, Tigo Pesa, au Airtel Money kwa atakae patia

Ulitaka kwenda kuoga lakini ukaona ushindi wa esta bulaya
 
Ulkua nje ukaingia ndani ili uchukue kifaa fulan kwa ajili ya shughuli ulokua umepang kuifany nje bt kwa sabb ya attendance nzur jf na kwa sabb kuna vitu vzur umu umejkuta umesaau icho ulichkua umeifata ndani,,,so nenda kachukue ukaendlee na shughuli zako nje
 
Wazo nzuri, lakini si hilo nililokuwa nawaza kufanya.
Anyway unadalili fulani za kupatia, endelea kujaribu tena huenda wewe ndo ukawa mshindi wetu
ulikua unataka ukapige puli bafuni...ntumie pesa yangu fasta
 
Umewakamata kama ulivyotaka,naona una enjoy tu comments zao na kuzipa rate.

Na hii inaonyesha ukiandika lolote lile utapata tu comments that's mitandao ya mawasiliano ilivyo duniani.

Waiting to see another chemsha bongo.
 
Back
Top Bottom