WanaJF naomba kukumbushwa; zawadi nono kupitia M-PESA, Tigo Pesa, au Airtel Money kwa atakae patia

WanaJF naomba kukumbushwa; zawadi nono kupitia M-PESA, Tigo Pesa, au Airtel Money kwa atakae patia

Wazo nzuri, lakini si hilo nililokuwa nawaza kufanya.
Anyway unadalili fulani za kupatia, endelea kujaribu tena huenda wewe ndo ukawa mshindi wetu
Nipe tu zawadi yangu maana hakuna namna boss.
 
Anayetakiwa kukukumbusha ni yule uliuemuambia cha kukukunbusha kabla hujakisahau.. kwa namna hii unayoiganya hakuna atakayepata... na hakuna atakayeweza kuhoji kwamba kwa aliyepata kapatia kweli
 
Ulikuwa unataka kuuuu, kwanz we ni me au ke ?
 
Jamani kuna kitu nilikuwa natazamia kukifanya mda mfupi ujao, lakini kitendo tu kuingia humu ndani na kukutana na habari moto moto nyingine zenye kuburudisha, nyingine za kusisimua, na nyingine zenye kuhuzunisha kimesababisha kusahau hata nilichokuwa natarajia kufanya.
Hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza shilingi 50,000/= itatolewa kwa atakae patia.

Nitakuwa mwaminifu kwa atakae shinda, na nakala ya malipo nitaiweka hapa hapa kwa idhini ya mshindi.

NB: Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Ulitaka kuandika project yenye deadline leo.
 
Ulipanga jioni ya Leo ukirudi kazini. Upumzike then muoge pamoja na shem alafu mtoke mtoko muruaaaaa
 
ulikua unataka kumwita kimada chako mkale kitmoto
 
Ulitaka kujipiga selfie ukujikuta huna kilainishi, sasa ukapanga uende dukani ukanunue mafuta ya mgando ya kupaka, ghafla ukashika simu ndo sasa uko Jf,
 
Anayetakiwa kukukumbusha ni yule uliuemuambia cha kukukunbusha kabla hujakisahau.. kwa namna hii unayoiganya hakuna atakayepata... na hakuna atakayeweza kuhoji kwamba kwa aliyepata kapatia kweli
Nimeahidi kuwa mwaminifu kwa atakae nisaidia kukumbuka hicho kitu ndugu, kwa hivyo kuwa na imani na mimi
 
Jamiiforums ya Siku hizi bwana!

Hizi bundle za vyuo ndio imeleta haya yote.
 
Back
Top Bottom