Santi
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 547
- 1,201
Nipe tu zawadi yangu maana hakuna namna boss.Wazo nzuri, lakini si hilo nililokuwa nawaza kufanya.
Anyway unadalili fulani za kupatia, endelea kujaribu tena huenda wewe ndo ukawa mshindi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe tu zawadi yangu maana hakuna namna boss.Wazo nzuri, lakini si hilo nililokuwa nawaza kufanya.
Anyway unadalili fulani za kupatia, endelea kujaribu tena huenda wewe ndo ukawa mshindi wetu
Ulitaka kuandika project yenye deadline leo.Jamani kuna kitu nilikuwa natazamia kukifanya mda mfupi ujao, lakini kitendo tu kuingia humu ndani na kukutana na habari moto moto nyingine zenye kuburudisha, nyingine za kusisimua, na nyingine zenye kuhuzunisha kimesababisha kusahau hata nilichokuwa natarajia kufanya.
Hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza shilingi 50,000/= itatolewa kwa atakae patia.
Nitakuwa mwaminifu kwa atakae shinda, na nakala ya malipo nitaiweka hapa hapa kwa idhini ya mshindi.
NB: Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Duh!ultaka kuleta uchochezi
Tafadhali jaribu tenaUlikuwa unataka kwenda kanisa sabato leo 12 jioni
What does it mean?!Kuny
[emoji14] [emoji12]Umesahau kufunga mlango wa chooni.
[emoji12] Si mchezoUlitaka kumjibu mdogo wako ishu mliyowahi kuongea
Nimeahidi kuwa mwaminifu kwa atakae nisaidia kukumbuka hicho kitu ndugu, kwa hivyo kuwa na imani na mimiAnayetakiwa kukukumbusha ni yule uliuemuambia cha kukukunbusha kabla hujakisahau.. kwa namna hii unayoiganya hakuna atakayepata... na hakuna atakayeweza kuhoji kwamba kwa aliyepata kapatia kweli