Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Sauti za kike zinasikika zikiimba maneno yafuatayo
"Ni wajibu wetu kumshukuru Mwalimu nyerere,ni wewe ulianzisha umoja wa taifa,ni wewe ulianzisha cha chetu tanu"
Wakuu hayo Ndio maneno yanayoanza na huo wimbo.Naamini humu kuna wakongwe wengi wanaoweza kuutambua huo wimbo wa maneno hayo ya mwanzo.
Kipindi baba wa taifa ana fariki nikilikuwa mdogo wa umri chini ya miaka 17 hivyo niliweza kuufahamu huo wimbo kilindi kile ila sasa sina kumbukumbu za kujua hata wahusika waliouimba wimbo huo.
Dah na umepigwa sasa hivi kwenye radio zikafuata speeches za baba wa taifa
Naomba msaada wenu.

Tumeajaaliwa sana sisi Tanzaniaaaa
Ngao yetu umoja tumezingatiaaa
Heri kujiuliza bila kudhania,mambo gani muhimu ya kuzingatia....
Ni wajibu kumshukuru baba Nyerereee,tumsifu kwa furaha vigelegeleee...mwalimu baba yetu tunakushukuru, mwalimu ndugu yetu tunakuheshimu....ni wewe ulianzisha chama chetu tanu, ni wewe ulianzisha umoja wa taifaaaa aaa Nyerereeeee......