Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
CCM mbele kwa mbeleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nasubiri Uiandike FULL!Tumeajaaliwa sana sisi Tanzaniaaaa
Ngao yetu umoja tumezingatiaaa
Heri kujiuliza bila kudhania,mambo gani muhimu ya kuzingatia....
Ni wajibu kumshukuru baba Nyerereee,tumsifu kwa furaha vigelegeleee...mwalimu baba yetu tunakushukuru, mwalimu ndugu yetu tunakuheshimu....ni wewe ulianzisha chama chetu tanu, ni wewe ulianzisha umoja wa taifaaaa aaa Nyerereeeee......
Nadhani ulitungw na baba Nnape Brig Nnauye kama sijakoseaYah ni kweli katika tafuta zangu nikagundua kua ulitoka punde tu baada ya uhuru
Poa mkuuMkuu tuutafute kwa pamoja,me napita huku wewe pita kule halafu tukutane katikati.
rtdWasiliana na maktaba ya RDT
Naona hujadaidiwa... Niliona post yako muda tu, tatizo moja, huu wimbo mwenyewe naupenda sana. Ila sijawahi kufanikiwa kupata wa John Komba... Nilipataga version nyingine hauchangamki kama ule wa Komba. Pia, kuupata sasa ilikuwa mbinde na nilikiwa sijawahi kudownload.Sauti za kike zinasikika zikiimba maneno yafuatayo
"Ni wajibu wetu kumshukuru Mwalimu nyerere,ni wewe ulianzisha umoja wa taifa,ni wewe ulianzisha cha chetu tanu"
Wakuu hayo Ndio maneno yanayoanza na huo wimbo.Naamini humu kuna wakongwe wengi wanaoweza kuutambua huo wimbo wa maneno hayo ya mwanzo.
Kipindi baba wa taifa ana fariki nikilikuwa mdogo wa umri chini ya miaka 17 hivyo niliweza kuufahamu huo wimbo kilindi kile ila sasa sina kumbukumbu za kujua hata wahusika waliouimba wimbo huo.
Dah na umepigwa sasa hivi kwenye radio zikafuata speeches za baba wa taifa
Naomba msaada wenu.
Naona hujadaidiwa... Niliona post yako muda tu, tatizo moja, huu wimbo mwenyewe naupenda sana. Ila sijawahi kufanikiwa kupata wa John Komba... Nilipataga version nyingine hauchangamki kama ule wa Komba. Pia, kuupata sasa ilikuwa mbinde na nilikiwa sijawahi kudownload.
Nimeona kuupload hapa 66mb itakuwa nouma. If you don't mind this version... Karibu
http://subyproduction.com/Nyerere.wav
Wait speech iishe... Wimbo unaanza 02:00
-callmeGhost
Kumbe na wewe ni muhanga wa uvivuPoa mkuu.
Ukiupata uandike kwa maneno utupie hapa na sisi ambao ni wavivu wa Luninga tucelebrate hapa
Asante sana Bakulutu kwa huo wimbo, ngoja nikusaidie kuuweka hapa ili waliokuwa wanautafuta waweze ku-download.