WanaJF naomba mnisaidie huu wimbo wa kumsifu baba nyerere alipofariki mwaka 1999 kunitajia hata jina la wimbo

Mkuu nasubiri Uiandike FULL!
 
Ni wimbo wa zamani kabla hajafa enzi zetu wahenga tulikua tunaimba kwenye kwaya, sikumbuki exactly title ila tulikua tunaita Mwalimu ndugu yetu
 
Poa mkuu.
Ukiupata uandike kwa maneno utupie hapa na sisi ambao ni wavivu wa Luninga tucelebrate hapa
Mkuu tuutafute kwa pamoja,me napita huku wewe pita kule halafu tukutane katikati.
 
Ni wimbo wa zamani kabla hajafa enzi zetu wahenga tulikua tunaimba kwenye kwaya, sikumbuki exactly title ila tulikua tunaita Mwalimu ndugu yetu
Yah ni kweli katika tafuta zangu nikagundua kua ulitoka punde tu baada ya uhuru
 
Naona hujadaidiwa... Niliona post yako muda tu, tatizo moja, huu wimbo mwenyewe naupenda sana. Ila sijawahi kufanikiwa kupata wa John Komba... Nilipataga version nyingine hauchangamki kama ule wa Komba. Pia, kuupata sasa ilikuwa mbinde na nilikiwa sijawahi kudownload.

Nimeona kuupload hapa 66mb itakuwa nouma. If you don't mind this version... Karibu
http://subyproduction.com/Nyerere.wav

Wait speech iishe... Wimbo unaanza 02:00

-callmeGhost
 


Nashukuru sana mkuu
 
Wimbo unaitwa Nyerere Baba yetu tunakushukuru. Muimbaji ni Marahemu Capt. John Komba, uliimbwa na bendi ya TOT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…