Elections 2010 WanaJF: Natangaza nia kugombea jimbo la Lushoto Mjini

Elections 2010 WanaJF: Natangaza nia kugombea jimbo la Lushoto Mjini

Mkuu mikakati yako imefika wapi maana naona katika thread nyingine umetoka kuvuta jiko
 
Kaka mambo vipi pole kwa pilika pilika za kampeni, Natumaini baada ya kutangaza nia utakuwa unatujuza mtanange wa kampeni unakwenda hapo lushoto kwa sasa maana tunajua kuwa shekifu hatakubali kuona damu changa inampiga chini na tayari wananchi wengi wa lushoto wanajua kuwa shekifu ni mwana mtandao wa JK ndio maana hata alivyopigwa chini haraka kwenye uteuzi akakumbukwa kwa kupewa Ukuu wa mkoa wa Manyara,

Sasa lazima umuonyeshe kuwa kweli umezamiria kumuonyesha upinzani hadi mwisho na hatimaye tusikie kuwa kijana mwezetu umelikwaa jimbo.Ni kweli kama ulivyosema Lushoto inakabiliwa na changamoto nyingi mabali na utajiri mkubwa wa rasilimali iliyojaaliwa Wilaya hiyo lakini naamini hajapatikana mtu wa kuonyesha njia na kutumia raslimali hizo kuboresha maisha ya wana Lushoto.

Komaa kaka na naomba utujulishe mtanange unavyokwenda huko
Kila la kheri
Mtoi
 
Back
Top Bottom