WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card

WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card

Kinkajou

Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
71
Reaction score
54
WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal

Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301 kupitia Ebay had kufika mda huu tayari zipo njiani zinakuja. Asanteni wana JF.
 
Wana JF natoa shukrani kwa mchango kuweza kunipa Elimu ya Mpesa MASTER CARD hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal

Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301 kupitia Ebay had kufika mda huu tiari zipo njiani zinakuja ASANTENI JF
Mi mbona nikiiunga na PayPal inagoma..?
 
Wana JF natoa shukrani kwa mchango kuweza kunipa Elimu ya Mpesa MASTER CARD hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal

Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301 kupitia Ebay had kufika mda huu tiari zipo njiani zinakuja ASANTENI JF
Tupe process zote ulizopitia mpaka kufanikiwa maana m nilijaribu kuiunganisha nikawa napigwa knockout sijui ndo madhara ya kukaa huku Nanjilinji
 
NAuza nokia
e72 = 160k,
e71 = 150k,
e63 = 150k,
n86 = 170k(8mp&8gb),
asha = 150k,
c1 = 110k,
c5 = 120k na
8110 duos 4g support whatsapp = 170k.
 
hivi hizi smartphone za button bado zina soko kweli?
 
Back
Top Bottom