Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!!! Mtani hii ni kubwa kuliko.Akilindogosana, kwa niaba ya waliosoma hii coment yako na maguest pia, na wale ambao hawakuisoma kwa bahati mbaya ila walitaka kuisoma, pamoja na wale ambao hawakuisoma kwa bahati nzuri, pamoja na wale ambao hawajajiunga JF na kadhalika na kadhalika ninasema kwamba tunalukubali pia.
Hahahaaa!!! Mtani hii ni kubwa kuliko.
Hahahaaa. Kweli aisee Mtani.Kwani nini tusimkubali anayetukubali mtani?
Hii ni nipende nikupende.
Nifah
Linapokuja swala la kuitetea yanga🐸 yako mbovu nakukubali sana.Hahahaaa. Kweli aisee Mtani.
Nimeshakusamehe mamake!Wewe si umeninunia jamani, tuanze upya! Haya maisha yashakuwa mafupi sana babake!
Awwwwww[emoji7]Nimeshakusamehe mamake!
Kuwa nawe baraka tosha.Awwwwww[emoji7]
Barikiwa sana jamani