mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Sasa kanga anatype vipi kwenye simu[emoji23]usikute yuko serious jamani msaidieni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kanga anatype vipi kwenye simu[emoji23]usikute yuko serious jamani msaidieni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msaada jamaniusikute yuko serious jamani msaidieni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
si amesema anatumia mkia na kucha, adi mgongo unamuuma🤣Sasa kanga anatype vipi kwenye simu[emoji23]
Nimetumia mkia nimechoka. Hapa natumia ukucha[emoji24]Sasa kanga anatype vipi kwenye simu[emoji23]
ukome, sikuizi kila mtu anachunga mzigo wake😅Msaada jamani
Umetaga mayai mangapi....Nimetumia mkia nimechoka. Hapa natumia ukucha[emoji24]
Kuna watu wajinga na wapumbavuNatanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.
Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.
Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.
NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Sijataga nisaidie mkuuUmetaga mayai mangapi....
Nisaidieni dawa[emoji24] simu inakaribia kuzima chajiKuna watu wajinga na wapumbavu
Utataga we tulia...Sijataga nisaidie mkuu
[emoji24]Utataga we tulia...
kenge, ndugu yako mwingine huyu hapa. Uje umpokee.Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.
Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.
Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.
NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Naona waamini mungu mnatokwa mapovu badala ya kuelezea imewezekanajeEbu ficha upuuzi wako upesi
NisaidieniNaona waamini mungu mnatokwa mapovu badala ya kuelezea imewezekanaje
[emoji38][emoji38][emoji38]si amesema anatumia mkia na kucha, adi mgongo unamuuma[emoji1787]
HahahahaKuna watu wajinga na wapumbavu
Atajitupa chini ya meza afe mjue[emoji23]Kuna nyimbo inaimbwa hivi
Kengeeee kengeee anamadoa doa... kengee! anamadoa doaaaaaaa
Unaipata mkuu?[emoji28]