Sule the don
Member
- Jul 28, 2013
- 52
- 2
Jaman kwa yeyote anayejua chuo kinachofundisha udereva wa construction machine like caterpillar naomba anielekeze then sio mbaya kama ataniambia,ada,muda wa mafunzo,na mawasiliano ya chuo hicho.nitashukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda chuo cha bandari tandika dsm
Asante bwana mkubwa unaweza nipa more detail kuhsu chuo hcho
Hivi NIT pale hawafundishi hii kitu
Cjajua kaka ila nlickia kihonda moro bt cna uhakika
veta ya shinyanga wanatoa hiyo kozi