WanaJF, Sijielewi ninatatizo gani

WanaJF, Sijielewi ninatatizo gani

Habari wana JF,

Kwa kawaida huwa napata hedhi tar za mwanzo za mwezi, mwezi wa 4nilipata tar 1na kumaliza tar 3..mwezi wa tano nilipata tar 30hadi 2.

Cha kunishangaza mwezi wa 6nilichelewa kupata hedhi yangu jambo ambalo lilinipawasiwasi na kuhisi nimekwa kwani (niliuza mechi) na nilikuja kupata tar 5 tena ikatoka kwa cku moja tu na kwa kiasi kidgo sana.

Kitu kingne kinachonifanya nishindwe kuelewa siku za karibun nimeanza kujiskia ovyo.

Yaani tumbo silielewi naona linajaa jaa tuu, na cha ajabu jana nilipnda daladala na sikubahatika kupata siti ivyo nilisimama kutokea banana ukonga hadi kufika maeneo ya Tazara nikawa najickia kuishiwa nguvu hadi ikapelekea kutapika japo ni kwa mara moja na nilipokaa hiyo hali ikapotea.

So naomba kujuzwa je inawezekana nikawa na tatizo gani?

Kama ni mimba mbna nilipata hedhi yangu japo kwa cku moja na kwa uchache? au itakuwa nimepatwa na maralia!

Tafadhalini wanaJF msaada wenu jaman sijielewi ninatatizo gani.

Natanguliza shukrani.
Nenda kapime Hospitali zipo na Ma-Daktari wapo Serikali inawalipa kwa kazi hizo hizo za U-Daktari wewe badala ya kwenda kupima unataka ushauri hapa? Kapime hospitali itajulikana una Mimba au kama una Malaria.
 
Nunua pampers kabisa mama,mwanadamu ameshaanza safari yake ya matumaini.
 
Habari wana JF,

Kwa kawaida huwa napata hedhi tar za mwanzo za mwezi, mwezi wa 4nilipata tar 1na kumaliza tar 3..mwezi wa tano nilipata tar 30hadi 2.

Cha kunishangaza mwezi wa 6nilichelewa kupata hedhi yangu jambo ambalo lilinipawasiwasi na kuhisi nimekwa kwani (niliuza mechi) na nilikuja kupata tar 5 tena ikatoka kwa cku moja tu na kwa kiasi kidgo sana.

Kitu kingne kinachonifanya nishindwe kuelewa siku za karibun nimeanza kujiskia ovyo.

Yaani tumbo silielewi naona linajaa jaa tuu, na cha ajabu jana nilipnda daladala na sikubahatika kupata siti ivyo nilisimama kutokea banana ukonga hadi kufika maeneo ya Tazara nikawa najickia kuishiwa nguvu hadi ikapelekea kutapika japo ni kwa mara moja na nilipokaa hiyo hali ikapotea.

So naomba kujuzwa je inawezekana nikawa na tatizo gani?

Kama ni mimba mbna nilipata hedhi yangu japo kwa cku moja na kwa uchache? au itakuwa nimepatwa na maralia!

Tafadhalini wanaJF msaada wenu jaman sijielewi ninatatizo gani.

Natanguliza shukrani.

Hapa nadhani wewe hutumii kinga (contraceptive) ya aina yoyote ile. Ningekushauri ufikirie jambo hili. Haya mambo ya wewe kutembea COMANDO-STYLE ukitegemea kudra za Mungu na kuwa labda hizo njemba zitakuwa zimevaa jezi ni kucheza RUSSIAN ROULETTE.

Mimi wasiwasi wangu sio hiyo mimba. Kama imetungwa basi GOD-BLESS. Wasiwasi wangu ni magonjwa. Najua maisha ni mafupi lakini tukifanya mchezo yanaweza kuwa mafupi sana.

Nakutakia kila la heri.
 
Nakushauri upime damu utskuwa na upungufu wa damu au 2. Una mimba inapungua ambayo ni tstizo kubwa. Km una upungufu wa damu rekebishs unajua vyakula vya kuboost damu la hujui naweza kupa njia r a hisi sana ya kuboost damu within a week. Pia ningekushauri upunguze kula red meat.
 
Back
Top Bottom