WanaJF, sina mbele wala nyuma… ni mateso tu 💔🥀

Uzi huu ,unawagusa wengi kimaisha,Mungu atusaidie
 
Gentleman,
ni vizuri kubali matokeo,
kwani hiyo ndio hali ya dunia usisikitike sana.

muhimu zaidi,
ni kuzibadili na kuzifanya changamoto zote unazopitia kua fursa muhimu sana ya kujirekebisha, kujisahihisha ili hatimae kua makini zaidi na kufanya vizuri zaidi mbeleni katika harakati za kuyafikia malengo, ndoto na matarajio yako ya maisha 🐒
 
Mzee uko sawa kweli mana naona post zako hivi karibun zimejaa huzuni sana,i think you need real life help incase you're going through alot rn ,kama una watu unawaamin ongea nao in person wakusikilize wakusaidie hizi post za kila siku JF zinaweza zisiwe na msaada sana kwako zaidi ya kuendelea kuwanufaisha watu habari zako wazitumie badae kukushambulia,tafuta msaada kwa watu wako wa karibu km huna mfate pm JF member unaedhan atakua na hekima
 

Asee nimetoka kureply umu then nikakutana na reply yako umesema vile vile km nilivyosema mm , it's too much to share to the public hata km ndo hidden IDs, it's getting out of hand kwa jamaa,watu wanaiona mitandao km ndio ndugu,guys token nje touch grass talk to people watu B7 dunian unakosaje kadhaa wakuongea nao in real life
 
Gentleman,
huenda humu jukwaani anapata relief zaidi ya kisaikolojia, kuliko nje ya jukwaani, ambako bilashaka yoyote huenda tayari ameshajaribu kutafuta suluhu ya changamoto zake ambazo ni kawaida kwa mwanadamu.

mie nadhani ni vizuri zaidi akaachwa aendelee kutoa ya moyoni kwa uwazi zaidi jukwaani na itapendeza 🐒
 
Hata humu kuongea ni rukhsa ila sasa ukizidisha kujiliza watu wnaakuona una shida! Na hutopata msaada wa mawazo unaoutegemea!
 
Mkuu ukipata muda tembelea japo hospital ukaone watu wanavyoteseka,na kuanzia hapo utajiona wewe ni tajiri na una kila kitu
 
Kila siku nyuzi za kujiliza tu mpaka jau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…