genius
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 428
- 337
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya.
Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi yetu pendwa sana Tanzania.
Sasa ni jukumu letu kuchukua hatua katika kipindi hiki cha lala salama kusaidia kufutilia mbali juhudi za mabeberu na kibaraka wao Tundu Lisu, wajue Watanzania tumeamka, hatutaki tena huu upuuzi wao.
Sasa mwana JF, ni muda muafaka sasa wa kuingia front, kuchukua hatua na kumsaidia Magufuli kushinda kwa kishindo kitakachotikisa Afrika na Dunia kwa ujumla.
1. Ongea na Familia yako, washawishi walio kwenye himaya yako wamchague Magufuli
Kaa chini, waelezee kinagaubaga mafanikio ya serikali ya awamu ya tano, waelezee hali ya mwenendo maendeleo ya miradi ya barabara , maji , umeme, elimu shile za msingi bure, mikopo kwa elimu ya juu hakuna tena mikopo. Waombe watu wa familia yako wampigie kura Magufuli aje aboreshe maisha yao zaidi kwa miaka mingine mitano.
2. Wapigie simu ndugu, jamaa na marafiki huko kijijini kwenu, mijini na popote washawishi wampatie Magufuli kura zote
Wanachama wa JF tupo wengi sana, Iwapo kila mmoja atamtafutia Magufuli kura kumi tu basi CCM itashinda kwa kisndo kikubwa sanaaaa.
Hebu tuweke commitment, kila mtu anaye ona juhudu za Rais wetu Magufuli katila kuijenga nchi hii, awashawishi watu angalau kumi anaowamudu wampigie kura Magufuli.
Ndugu zangu, hii ishu siyo ya Magufuli peke yake, hii ngoma ni yetu sote. John Pombe Magufuli amejitoa sadaka kwa maendeleo ya Taifa letu Tanzania.
Sasa ni jukumu letu kuhakikisha anashinda kwa kishindo cha A+