Uchaguzi 2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

Inatakiwa bado uwafikirie,kwani sisi site ni ndugu na dunia nimoja,ila yafaa uendelee kuwaelimisha waweze kukuelewa na kufanya like kitakacho wasaidia Watanzania wote,bila kuwabagua kwa itikadi zao au vinginevyo.
Ndio maana nikasema,hao watakaonipigia simu wawe wanajiweza!Maana watu tunalalamika hali imekuwa ngumu halafu mtu anipigie simu eti mchague JPM!Nitamwambia sawa ila ahakikishe hanisumbui!
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya...
Msisahau kumsisitiza mgombea wenu aanze kufungasha atupishe kwenye ikulu ya watanzania aliyoinajis kwa miaka mitano na ameitia mikosi, asisahau na zile hirizi zake zinazopumua

Mwisho wake ni 2810200,
#ENDCCM.
 
Wengine wamesanda ..Lissu hana genes za kitanzania labda family tree moja na Ernesto "Che" Guevara....
Inabidi nawe ututhibitishie uzalendo wako ni ule halisi au uke maslahi.
 
Kila kitu ni kukopi tu Kama baba yenu , anavyokopi sera za Lisu kuhusu bima!!
Mavi-jana ya CCM haya ubongo wa kufanya vitu in innovative ways, kila kitu yanasubiri vijana wa CHADEMA waanzishe yenyewe yanukuru! Halafu hayanaga mishipa ya aibu kama lilivyo limwenyekiti lao! Hapa ile dhana ya kwamba vijana wengi wenye akili wako upinzani huwa inajidhihirisha!
 
Mbona uzi umechacha wa Lissu unakimbia page ya 10 sasa
 
Watu Wote wanao Kubali utendaji kazi wa Magufuli msitishwe Na Idadi ya Wapinzani humu Jamii forum na Twitter Maana ni watu wale wale tuu

Tundu Lissu ana Sifa za kuongoza Lakini hafui dafu kwa Magufuli, MAGUFULI anafaa Sana kuwa dereva wa gari hili kwa Misingi ya nchi yetu Sasa, Nchi yetu bado changa Sana inahitaji watu kama Mh Magufuli kusudi atuvushe Sehem frani ndipo wafuate watu kama kina Lissu (History ya Dunia inaonesh hivyo )

MAGUFULI Anazo kasoro zake na Anatenda Makosa as well hilo linafahamika Lakini Siwezi kuacha kutumia Plain paper yangu kisa ina doa la peni Nikitegemea niombe Plain paper safi kwa mtu ndio ntapatia kazi yangu

Ni kweli kwamba Asilimia kubwa ya Wapinzani wameharibiwa na kiggo na watu wengine(hata me nlikua hivyo) na sio utashi wao moja kwa moja yani Upinzani wa kushinikizwa

Unajua sometimes we have to accept what we have and looks deep on what we get on that (Lets commit Ourselves to have positive Mind)
Mimi sidhani kama Mtu mwenye utimamu wa akili anaweza akasema siwez mpa MAGUFULI Sababu anapenda Wanawake weupe, Au Sababu anafokea watumishi, Au hawez Kingereza nk nk

Lissu akigombea 2025 ntampa kura yangu
 
Magu tayari ni rais anasubiri kuapishwa kwa mara ya pili!

Yule mwingine ataenda kuapishwa na Amsterdam
 
Support yetu anayo tayari.

Ushindi ni dhahiri.
 
Mimi na jamaa zangu ndugu na marafiki nia yetu ni moja tu, kura kwa mgombea wa chama cha mapinduzi. Kuilinda amani ya taiga letu kwa kuifunga ile midomo michafu
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya...
Uko pekee yako tu
 
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya...
Ni wazi jpm amefanya makubwa sana katika taifa hili
 
Mimi na jamaa zangu ndugu na marafiki nia yetu ni moja tu, kura kwa mgombea wa chama cha mapinduzi. Kuilinda amani ya taiga letu kwa kuifunga ile midomo michafu
Ni haki yako,ila isiwe wewe peke yako kwani moyo wa mtu msitu,na vilevile zipo sababu nyingi kwanini hata ndugu zako wasikuambie ya moyoni mwao.
 

WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka kuingia kazini kumsaidia ushindi wa kishindo​

Mpaka sasa Magufuli anayo makundi haya yakimsaidia kushinda...
  1. Tume ya Uchaguzi
  2. Msajili wa Vyama
  3. Jeshi la Polisi
  4. Usalama wa Taifa
  5. Tume ya Maadili
  6. TCRA
  7. TBC
  8. TRA
  9. Vituo binafsi vya TV
  10. Wasanii
  11. Wakurugenzi wa Wilaya
  12. Wakurugenzi wa Mikoa
  13. Viongozi wa Bakwata
  14. Viongozi wa Madhehebu ya Kikristo
Kama pamoja na hao wote bado anahitaji msaada wetu kupambana na jeshi la mtu moja, basi Mh. Tundu Antiphas Lissu ni shujaa na si mtu wa kawaida...NI YEYE TU!
 
Shida kuna kitu kidogo wore hao wameshindwa kujua mahitaji ya Watanzania,Kwa msaada tu usio rasmi,uhuru,haki na Maendeleo ya watu.
 
Hivi nilisoa huu ui vibaya hapo awali au kuna uzi mwingine wenye tite kama hii ila wa tundu lissu?
Kwa uzi huu watu rupo site na kazi inakamilika tarehe 28 asuuhi na mapema...
 
Sikusoma utopolo wako ilanakujibu kwakusema hapana hatumtaki mfilisi mkubwa kuchoma nyavu zetu halali naleseni tumelipa uvuvi unafanyika wazii hata aliowatuma walisema tumekidhi vigezo ilawao wametumwa pesa unyanganyi wawa wazi kwakujidaia madaraka wavuvi wote nchi nzima muda umefika ni zamu yetu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…