Uchaguzi 2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

tuhimize wananch wajitokeze kwa wingi 28 kuipigia kura ccm ili tushinde kwa asilimia 99
Sema wajitokeze kufanya maamuzi guru na sii kuwafundisha nanna ya kujiamulia hatma yao.
 
HILO LIKO WAZI MIMI NATAMBUA WATU WENGI KUANZIA VIJANA NA RIKA ZOTE MIOYONI MWAO AMEJAA #MAGUFULI KUTOKANA NA KAZI KUBWA AMBAYO KAIFANYA KWA KULITAMBUA HILO WENGI SANA WAMEONA WAMUUNGE MKONO SI TUU KWA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI WENGINE WAMEBAKI NA ITIKADI ZAO LAKINI KURA YAO YA NDIO ITAENDA KWA RAIS #MAGUFULI
 

Attachments

  • CCM.jpg
    147.5 KB · Views: 2
Hapati kitu aende zake chato
 
Magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzania na ndio mwenye nchi hii. Tarehe 28/10/2020 ndio tunaenda kuudhihirishia ulimwengu kwa wingi wa kura zetu. Ni lazima kazi iendelee.




MAGUFULI4LIFE.
 
Thanks wote ....tumeungana ....tumeweza
 
Rais Magufuli ushindi wake ni 98%

Ondoa shaka

Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Hapo kwa wabunge pametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…