Haha nimekuamshia yaliyokwisha lala [emoji119]Dulla hilo jina lina historia yake kwangu Shem,one of my ex so so so so halitamkiki hahahaha
Haujajaribu pote mkuu, endelea tu usikate tamaa.Tatzo kila napojaribu utasikia nakutoa ngeu..
Huyo usijihangaishe, hawezi kumuacha Rogie hata kidogo. Hapo anatingisha kiberiti tu.Honey Faith nakuja dm mama..
Ila mie sina hela ya kukukopesha labda kama unataka nije nikukope.....[emoji12]Honey Faith nakuja dm mama..
Muulize nimeisha muachaHaujajaribu pote mkuu, endelea tu usikate tamaa.
Huyo usijihangaishe, hawezi kumuacha Rogie hata kidogo. Hapo anatingisha kiberiti tu.
Hauna huo ubavuMuulize nimeisha muacha
Kwani kuna ulichoniuliza mkuu?Espy uko kimya Jaman
Hivi unanijua au unanisikia?.....[emoji125] [emoji12]Hauna huo ubavu
Usije maana pm maana inamilikiwa na mwenyeweNije dm ?
Tulia mke mwenza.Hivi unanijua au unanisikia?.....[emoji125] [emoji12]
HahahahaaHaha nimekuamshia yaliyokwisha lala [emoji119]