WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Am super great my queen... Been busy with work love.. Tell me super dear... In two days come over...

Thanks God you are feeling better today baby!!

Just missing you Smart911 darling you have been so busy with work these weeks love! '

Ok I will my king. thanks
 
Duh, ninayemu admire secretly naona tayari yuko deep in conversation na jamaa!
Damn you man!!
 
Habari zenu wana MMU, kama kichwa kinavojieleza... Njoo hapa mwagika mistari kwa unaempenda au kumtamani humu JF.

Mimi binafsi nammkubali sana huyu mdau mmoja kiasi kwamba nikiona jina lake tu moyo wangu unadunda kiasi cha kutaka kutoka nje ya kifua. Anaitwa Rubii
 
Ungebainisha dhana moja
Kama (kumkubali mtu)
Lakini
Kumpenda
Kumtamani
Kumtaka
Kumhitaji
nk.
Hayo ni majaribu mkuu.
Kwani
Si vizuri kumtamani mke wa mtu, au kumtaka, a.k.a. kumhitaji.
Utazua sokomoko.
 
Tatizo jina lako (ID ) ndiyo mkosi.

Binti /mwanamke akiona tu Xtaper anajua tayari atarekodiwa mkanda wa X akiwa Karibu na wewe.
Haha hapana mkuu wala haina maana hiyo Poise
 
Ungebainisha dhana moja
Kama (kumkubali mtu)
Lakini
Kumpenda
Kumtamani
Kumtaka
Kumhitaji
nk.
Hayo ni majaribu mkuu.
Kwani
Si vizuri kumtamani mke wa mtu, au kumtaka, a.k.a. kumhitaji.
Utazua sokomoko.
Haha unamwambia tu ajue ila kama mke wa mtu apo ndio unakaa mbali
 
Habari zenu wana MMU, kama kichwa kinavojieleza... Njoo hapa mwagika mistari kwa unaempenda au kumtamani humu JF.

Mimi binafsi nammkubali sana huyu mdau mmoja kiasi kwamba nikiona jina lake tu moyo wangu unadunda kiasi cha kutaka kutoka nje ya kifua. Anaitwa Rubii

Kwani rubii sio mke wa mtu?
 
Haha hapana mkuu wala haina maana hiyo Poise

Haaa haaa Haaa teeeh teeeh.

Chukua dictionary uangalie maana ya neno "taper" peke yake maana ni Kweli ina maana nyingine lakini bando linaanza kuchacha baada ya kuanza na X
 
Back
Top Bottom