WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Kwani we una mpango wa kua na mwingine huko?
Linipite kushoto hilo mimi.
Kama maandiko yanavyosema awaunganishaye bwana hata msumeno hautawatenganisha.

Tuombe tu utangulie wewe maana mimi nikiwahi wanaweza kunirubuni bure.
 
Linipite kushoto hilo mimi.
Kama maandiko yanavyosema awaunganishaye bwana hata msumeno hautawatenganisha.

Tuombe tu utangulie wewe maana mimi nikiwahi wanaweza kunirubuni bure.
Hee yani mie nikutangulie nikuache ukiwa unafanya nini huku nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…