Dah.... Wote? Hata Kapukuz [emoji87] [emoji87]nawapenda woteeeee
And it doesn't ask y!!mi mwnywe nam luv but he never love me!!!ndo hvyo pambana na hali yko[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
[emoji18] [emoji18] [emoji18] nibembeleze lbda ntakufikilia nimuache BL!!Namna ya kupambana ni kupendana sisi kwa sisi.
Ntakubembeleza, nikudekeze hadi mgongoni nikubebe. I will protect you same as BL would.[emoji18] [emoji18] [emoji18] nibembeleze lbda ntakufikilia nimuache BL!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] cwez msaliti hadi anitamkie he don't need me anymore and I'm sure hawezi Fanya hvyo!!Im sorry!!Ntakubembeleza, nikudekeze hadi mgongoni nikubebe. I will protect you same as BL would.
Fimbo ya mbali haiuwi ujue?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] cwez msaliti hadi anitamkie he don't need me anymore and I'm sure hawezi Fanya hvyo!!Im sorry!!
Mwanadamu ameumwa na roho ya kupenda.
Upendo ni amri kuu kuliko zote kama unampenda mtu wa Humu JF mwambie ajue kuwa anapendwa kupendwa raha jamani.
Hata mimi?nawapenda woteeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntaiforce iue mana hakuna namna!!Fimbo ya mbali haiuwi ujue?
Tafuta pesa mkuu watakupenda kwa lazmadah! mimi tu ndo huwa sina bahati ya kupendwa..........wadada mungu anawaona tu!
Madam, humu kuna damu changa tena za moto. Maandiko yanasababisha mapendo[emoji12]Hapa labda upende au uchukie maandiko, vinginevyo ni uchizi.
Madam, humu kuna damu changa tena za moto. Maandiko yanasababisha mapendo[emoji12]
Kuna mapenzi ya maandiko na avatars.Naskia humu kuna upendo?Sijui ni upendo wa aina gani.Au wa agape???
Post sent using JamiiForums mobile app