Hebu yeye ajibu usimjibie bana usijetia gundu bureHapana! Nimejibu kwa niaba.
Nawapa mambo mazuri mno mno kila anaegusa anadata...Valentina naona sijui umewapa nini kaka zangu wanakugombania tu. Mara Saint Ivuga na Daby, huyu nae kakuelewa. Haya sasa kazi kwako.
Huyo Valentia yumo humu ndani?Nampenda Valentia. Liwalo na liwe.
Lazima ushtuke maana nimekubamba live unanyoya lips za nanilii
Hapana sijazinyonya nilizisifia tu kuwa zimempendeza.Lazima ushtuke maana nimekubamba live unanyoya lips za nanilii
Mnyonye tu..usiishie kwenye lips peke yake. Teh tehHapana sijazinyonya nilizisifia tu kuwa zimempendeza.
Alafu kwanini lakini?
Upo ??Sio mimi shoga. Hebu muulize vizuri huwa anakuwa wapi