WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoda akiwa kwa micheps anakuwa na adabu sana.
Haha haha!!

Micheps kwa sasa ni inevitable otherwise anaweza pata msongo Wa Umeme Zaidi ya Ule Wa Kinyerezi.

Kwa demi nakaribia kufika, tatizo lake amekubali idadi kubwa ya waombaji kuliko nafasi zilizopo kwenye ofisi yake.
 
Ndio hivyo inabidi ukazane asee usijerudiwa.
Na kwa usawa huu wa Magu inabidi viwango viongezeke so inabidi kuwa makini.
 
Back
Top Bottom