WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

hahaha nimetoka kwenye uzi wa shangazi nimecheka jamaan bonny na raimundo ila paw kawasamehe tu walitakiwa wale ban kila kitu kipo banned unaona tu watu wamekuquote kufungua huwezi watu wanakulike huwezi fanya chochote
Hahaha
Mwenyewe nilikuwa nacheka tuu jinsi walivyokuwa wanachat pale
 
hahaha nimetoka kwenye uzi wa shangazi nimecheka jamaan bonny na raimundo ila paw kawasamehe tu walitakiwa wale ban kila kitu kipo banned unaona tu watu wamekuquote kufungua huwezi watu wanakulike huwezi fanya chochote

Hv shunie una nn wameshasahau sie tilikuaa tunatoa faraja pale kwa mfungwa mtarajiwa ndio upendo wenyewe huo
 
Back
Top Bottom