Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sogea karibu hapa hebu tuyajenge my [emoji7] [emoji7] [emoji7]
nimekumiss halafu nakupenda. mwaaaaaaaah nyani wangu.Ninyo umenimiss?
jamaniiii! njo pm unambie basi kale kaID kako ka zamani beibeSana haswa wakati ule upokuwa ukikonyeza
Sijui ulipeka wapi ile makitu [emoji7] [emoji7]
Nakupenda piaaaaaa nanawoo [emoji8]tifah nifah miss chaga husninyo miss natafuta na wengine weeeengi sana nikiwataja siwamalizi
Na wavimbe wapasukeee[emoji443] [emoji445] [emoji444][emoji8] [emoji8] aunty acha wanuneee
Hahaaaa!! Ban sio kitu kizuri kqbisa. Alafu jana sijui ulipotelea wapi? Nani anakuficha?
Umeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...
Wacha watu wanune
bila mapendo maisha hayawezi kwenda
Aaah kabisa, let love lead[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
He hee na ukomeNishapoa my dear, good morning.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini jamani?Hili nililijua
Ujue kuna swali pale na haujalijibu!!! Usijisahaulishe.Haha!...🙂
Pole sana dear!, tunashukuru yameisha.
Kweli kabisa.Kweli, maana hakuna namna [emoji1]
Ujue kuna swali pale na haujalijibu!!! Usijisahaulishe..
Kweli
Kwanini umeshangaa ya kununa bibie[emoji17]
TehtehWakisha fika wataju nini kitafuata!;mbn umeuliza kwa mshangao au na wewe ni miongoni mwa ninaowangojea???