Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe una majukumu gani hapa duniani?Nakupenda too. Mie pia nawapenda wamama wote sibagui
happh father's day bamdogo angu hata kama hauna mtoto ila we ni babaNakuona bwana. Nakukumbusha tu leo ni siku ya kina baba
Hata usijichunguze, haumo kabisa.Mbaba qualifications zake ni zipi ili nijichunguze inawezekana mimi mbabu pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbaba qualifications zake ni zipi ili nijichunguze inawezekana mimi mbabu pia
yetu macho sisi mwisho wa siku kazi yetu kubembeleza tu
Hewaala..
They know nothing about life... Nilimkuta kwa uzi mwingine anasema kuna watu wamemuudhi sana ila amewasameheLife is too short to hate and to care abt shits kwakweli.
Yupi sasa unamuongelea? Yule ulokuwa unamfukuzia saa zile au yule mtoto wa mzee jimbi?Kwa hiyo wanaionaje yakhee.
Unataka hadi mama klaree tuwe tunabadilishana yeye atype irabu mimi konsonanti?
Nijibu haraka
HahahaKwa hiyo wanaionaje yakhee.
Unataka hadi mama klaree tuwe tunabadilishana yeye atype irabu mimi konsonanti?
Nijibu haraka
Unataka ban?Hivi wewe una majukumu gani hapa duniani?
HahahaMay they RIP in advance.
Asante mamy ake dady mdogo.happh father's day bamdogo angu hata kama hauna mtoto ila we ni baba
Wifi yupi sasa namuuliza?Mbona nilishatikisa nyavu siku nyingi
Muulize wifi
Hahaha
[emoji3][emoji3] viiYupi sasa unamuongelea? Yule ulokuwa unamfukuzia saa zile au yule mtoto wa mzee jimbi?
Wala tu mamynikajua upo kwenye kwaito
Akikujibu niiteHivi wewe una majukumu gani hapa duniani?