Shemeji mimi naitwa baba klaree. Klaree mwakani tupo naye jukwaaniHahaha
Jibu unalo shemeji
Nyie fumaneni tu, mkifumuana pia mfumuane tu, msitupe taarifa maana tumechoka sasa, kila siku taarifa mpya!!!!
Hizi hujuma tuu... na namwachia MunguWifi yupi sasa namuuliza?
Maana leo tu ushanitambulisha watatu.
Ungeshatikisa nyavu ningejua tu, maana pasingekalika. Hebu sema kama ni msaada tutafute mapemaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]happh father's day bamdogo angu hata kama hauna mtoto ila we ni baba
Unambembeleza nani? Msiba wa kujitakia hauna kilio.yetu macho sisi mwisho wa siku kazi yetu kubembeleza tu
[emoji57][emoji57]Hahaha
Huo ni uchochezi sasa
nataka pesaAsante mamy ake dady mdogo.
Leo nitakununulia ubuyu wa kwa mush ule wa zanzibar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]They know nothing about life... Nilimkuta kwa uzi mwingine anasema kuna watu wamemuudhi sana ila amewasamehe
hivi si uligoma kutambulishwa leo imekuaje umewakubaliWifi yupi sasa namuuliza?
Maana leo tu ushanitambulisha watatu.
Ungeshatikisa nyavu ningejua tu, maana pasingekalika. Hebu sema kama ni msaada tutafute mapemaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka ban?
Wewe sio wa kufurahia hayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anafunguliwa acc yakeShemeji mimi naitwa baba klaree. Klaree mwakani tupo naye jukwaani
upi tena shangazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi bamdogo wako kuna usalama kweli!!!!
unataka nini [emoji15]Na mie nataka
ngoja niwaacheUnambembeleza nani? Msiba wa kujitakia hauna kilio.
Mie ndio kuitwa aunty nilishasahau kabisaaaa maana hali si hali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inabidi ndugu zake wawe nae karibu lasivyo ataokota makopo soon, sio kwa kuvurugwa huko.