Ye mwenyewe ashachoka kumtulia mizigo yako kila siku, kakuachia mwenyewe ndio maana unaona mambo sio mambo!!!Hizi hujuma tuu... na namwachia Mungu
Kho Kho Kho KhoUjue unaninyima raha jukwaani wewe.
Cc paw
Unataka nini antie?Na mie nataka
Ubaba...Sa wewe unasherekea nini
Hahahaespy anamjua anajitoa ufahamu tu.... tena wewe atakuamkia mambo sio shikamoo
Hivi leo kumetokea nini mbona kama mna ubuyuHuhuhuuuuuu!!! Na bado!!!
huo aliousema bamdogo ubuyu wa znzUbuyuu
Huyu ndiyo dawa yakeKho Kho Kho Kho
sasa me ubuyu wa nini kwa mfano bamdogoYaani wanawake mtatuua sisi. Leo sherehe yetu tu hamtuachi tupumzike tusherekee kwa hamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakikusuta unaingia humo humo kupiga story kama haujui vile.
HahahaKaishia kunitishia ban tu.
dada me ubuyu wa niniMmmmh
Haha ni wangu na mama klareeHahaha
Baba claree... Huyo Clare ni wa naniii sasaa
Huyu mtoto kichwa ngumu kashindikana, asubuhi katoka church kaja home na kabinti nikatambulishwa eti wifi kidogo niwatoe baru na mwiko, nikawastahi, jioni hii kaja tena na mwingine. Yaani akirudia tena nitachomfanya atasimulia.hivi si uligoma kutambulishwa leo imekuaje umewakubali
aisee na waroho wa humu si watamkulaAnajifungulia ni mdada eti mkubwa mkubwa
Naona kama kuna stori hapa mjini sijaiskia mamdogosasa me ubuyu wa nini kwa mfano bamdogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jana ulishkuru alivyopewa banUjue unaninyima raha jukwaani wewe.
Cc paw
Nataka ubuyuu kutoka kwa DabyUnataka nini antie?
Wanawake tumeshatambulishwa wa Afrika mashariki na kati, ila ushawahi tambulishwa mtoto?upi tena shangazi