WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Huyu mtoto kichwa ngumu kashindikana, asubuhi katoka church kaja home na kabinti nikatambulishwa eti wifi kidogo niwatoe baru na mwiko, nikawastahi, jioni hii kaja tena na mwingine. Yaani akirudia tena nitachomfanya atasimulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom