[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ubaba [emoji125] [emoji125]
God is bae![emoji30][emoji30][emoji30]Ckucheki bhna.....nakufurahia
Tena unatuita ukoo mzima, ban ikitembea inatembea ya ukoo mzima.Hahaha
Yaani wewe nakugawa bure
Nilitoka ila navyomjua tu lazima ana kasuprise kaaina yake.Mama claree kakuandalia nini leo siku yenu?
Tena anipe na wa kwakobamdogo mpe sakayo ubuyu
Huyo ulomcc ndio wifi yangu mpya au?Ujue unaninyima raha jukwaani wewe.
Cc paw
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sa wewe unasherekea nini
Huyu hata haamin kama mimi baba. Simpibamdogo mpe sakayo ubuyu
Coco beach alafu usiku huuu!!! Mmmmmh!!![emoji87] [emoji87] [emoji87]Watakuwa kwenye mazoezi hao
HahahahaHuyo ulomcc ndio wifi yangu mpya au?
SawaaaaTena unatuita ukoo mzima, ban ikitembea inatembea ya ukoo mzima.
Kumbe ana mtoto bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora umuulize.
Mie uongo sijuagi ujue!!! Clare ni mtoto wa sugar mumy lake fulani hivi, alimkutaga tayari ana miaka 19, ndio maana unaona wanakaribiana umri.espy anamjua anajitoa ufahamu tu.... tena wewe atakuamkia mambo sio shikamoo
Wale hutawaweza bhanaCoco beach alafu usiku huuu!!! Mmmmmh!!![emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mie uongo sijuagi ujue!!! Clare ni mtoto wa sugar mumy lake fulani hivi, alimkutaga tayari ana miaka 19, ndio maana unaona wanakaribiana umri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakikusuta unaingia humo humo kupiga story kama haujui vile.
Kumetokea sherehe ya wababa, na wakaka kudai nao ni wababa!!!!Hivi leo kumetokea nini mbona kama mna ubuyu
Oooooh!!! Usijali hapo umefika.Nataka ubuyuu kutoka kwa Daby
Sasa hivi nina wake wenza kwahiyo nina muda wa kukusumbua.[emoji3][emoji3][emoji3]
MO11 njoo mchukue mkeo