Kunimiss najua lazima unimiss, unaachaje kwamfano!!!Hahahaha
Ngoja paw apite huku ulimwe ban. Japo nitakumiss
Kweli eeehOooooh!!! Usijali hapo umefika.
Thubutu yake!!!Kumbe ana mtoto bhana
Si umesema niseme!! Mbona unakimbia tena!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu mtoto kichwa ngumu kashindikana, asubuhi katoka church kaja home na kabinti nikatambulishwa eti wifi kidogo niwatoe baru na mwiko, nikawastahi, jioni hii kaja tena na mwingine. Yaani akirudia tena nitachomfanya atasimulia.
bamdogo mupe dada yoteTena anipe na wa kwako
Yaani ni mbishi balaa... Ilibidi mie niufyate nikawa nampa likes tuuLol!, wewe bwana. Nilikuwa nacheka jana na story zako mule mpaka nilipo ona alama ya moto, nikajua hali si salama na kucheka kukaisha! 😀
mpe tu bamdogo wakibisha watumie pichaHuyu hata haamin kama mimi baba. Simpi
Vipi mamy..
Samahani uko na undugu na ebitoke au benpol
Yaani kuna siku nitamfurumusha hatoamini majicho yake.Hahaaa!, kama nakuona na mwili wako..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vipi mamy..
Samahani uko na undugu na ebitoke au benpol
Nakuonaa na mafuta yao bhanaHapana, kwa nini Sakayo?
Ameeenbamdogo mupe dada yote
Antie haufai, ukaniacha nife peke yangu hata kunivuta shati!!!Yaani ni mbishi balaa... Ilibidi mie niufyate nikawa nampa likes tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuonaa na mafuta yao bhana
AiseeeeThubutu yake!!!
Mtoto wa kiarabu yule ujue, na mama yake ni mweusi tiii, daby mwenyewe mmasai, au mmasai wa dubai huyu!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]
MO11 njoo mchukue mkeo