Hahaha, hii ni baby oil chupa kubwa! [emoji16]Ndo maana nikakuuliza mko na undugu.... Maana sio kwa mafuta hayo
AiseeeeHahaha, hii ni baby oil chupa kubwa! [emoji16]
Dugunaitiiiiii, i lap yuuuuu[emoji8] [emoji8] [emoji8]Aiseeee
Ko na mie nikipaka ntakuwa hivyo
Dugu naitiiiiiii, i lap yuuuu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahaha, hii ni baby oil chupa kubwa! [emoji16]
Hahaha
Usinchape bhana..
Kumbe hakuelewa eeh
Lap yo moooore antieDugunaitiiiiii, i lap yuuuuu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
I lap you too! [emoji8] [emoji8] [emoji8]Dugu naitiiiiiii, i lap yuuuu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
HahahaNtajuaje ya mjini mie mwaya!, walionipara walinambia hiyo ndo make-up [emoji1]
Lakini wewe mweupe, unaweza usitokelezee kama mie! [emoji1]Aiseeee
Ko na mie nikipaka ntakuwa hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Nitakuja niwanyonge yaaani, sio Kwa kukupaka hukoo
Hamna ya watu maji ya kundeLakini wewe mweupe, unaweza usitokelezee kama mie! [emoji1]
Ila ulinoga ujue.. Sema ukipaka hayo shurti usivae nguo....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha, kwa kweli. Walinitenda haswa!
Nawe mwaaaaaaaaaaaaaaKwa yeyote anaesoma hapa!!!
Mmmmmwaaaaa! [emoji38]
Mimi hapa..[emoji41] [emoji41] [emoji41] mnaonipenda nawasubiri hapaaa[emoji575]
Yapo pia..Hamna ya watu maji ya kunde
Ila ulinoga ujue.. Sema ukipaka hayo shurti usivae nguo....
AsanteNawe mwaaaaaaaaaaaaaa
I just don't like her [emoji57] [emoji57]
Njoo pm tuyamalize tuu.vipi tena mkuu
espy....nilikuwa kwenye mnuso wa kibabe.Mie ndio kuitwa aunty nilishasahau kabisaaaa maana hali si hali.
Jirani yangu Bonny sijui kajificha wapi na Madame B sijui Heaven Sent maana huwa wanakuja pamoja na kupotea pamoja.