WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Mie ndio kuitwa aunty nilishasahau kabisaaaa maana hali si hali.

Jirani yangu Bonny sijui kajificha wapi na Madame B sijui Heaven Sent maana huwa wanakuja pamoja na kupotea pamoja.
espy....nilikuwa kwenye mnuso wa kibabe.
Ilibidi mikoba yote niiache kwanza, nisije kabwa na mfupa wa kuku.
Bonny tangu tulivuoachana mchana....ndo kimoja.
au kaondoka na Shunie....maana jana waliaga pamoja
 
Back
Top Bottom