WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Natafuta mwanamke wa kumpenda humu...Pm yangu ipo wazi kwa mwenye nia kama yangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeanza kujipendekeza eeeh!! Jitahidi nikila ban unanibembelezea.
Hahaha
Inabidi njichekeshe anti si unajua tenaaaa
 
Muongo huyu jirani yangu!! Bora tu nihame niwe nae mbali.

Halafu shemeji hapa jirani yangu kuna mtu anahama, naweza kukuulizia, nyumba iko peke yake na kuna geti kabisa, maji na umeme ni bure.

Hapo jirani na Bonny kwani unalipa sh ngapi? Maana hapa unaweza hata kupunguziwa nusu nzima, tiles mpaka nje zimetapakaa.
 
Mbona kama tangazo hili swahiba umekuwa dalali siku hzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…