WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Shemeji hata usiulize, hebu fanya mpango haraka nihamie hapo.
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nini kaka
 
Ha ha ha mzee unataka kunihamishia jiran yangu kwelii upendo wa wapi huo?

Mkuu unajua shemeji analalamika sana eti majirani wanampiga chabo, sasa namtafutia nyumba yenye uzio na sound proof ili aache kupigia watu kelele kwenye mambo yetu yale.
 
Mkuu unajua shemeji analalamika sana eti majirani wanampiga chabo, sasa namtafutia nyumba yenye uzio na sound proof ili aache kupigia watu kelele kwenye mambo yetu yale.
Hah ha ha ha ha shemeji yake espy kaamua kutoa ya moyon sasa kumbe jiran yangu huwa anapiga sana kelel mie huwa sisikii maana namie nakuwa busy na kelele zangu za maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…