Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahaUmeona anavyomlisha mume keki? No wonder ndoa ilimshinda.
Sitakiiii uchochezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaUmeona anavyomlisha mume keki? No wonder ndoa ilimshinda.
Uongo kidogo na ukwel sana ili ule uongo uwe kama ladha ya pilipili kwenye chakulaWe unataka ya maukweli kweli au ya mauongo uongo?
Mbona kama tangazo hili swahiba umekuwa dalali siku hzi
Na wewe nitakuvusha jirani maana hamna namna.Nmeuliza tu jiran
Hamna shida jirani.si hata zile ndogo ndogo utazikuta nmeziweka sebulen
Ha ha ha mzee unataka kunihamishia jiran yangu kwelii upendo wa wapi huo?Nimesikia shemeji anataka kuhama na hapa jirani kuna nyumba ikabidi nimjulishe tu.
Nyumba yenyewe hakuna dalali.
Sawa jirani. Ujirani mwema.Hayo ndio maneno jiran leo jion tunaanza sawa enhee?
Hapana jiran mie usivushe acha nibakie humu humu kwa kwelNa wewe nitakuvusha jirani maana hamna namna.
Shemeji hata usiulize, hebu fanya mpango haraka nihamie hapo.Halafu shemeji hapa jirani yangu kuna mtu anahama, naweza kukuulizia, nyumba iko peke yake na kuna geti kabisa, maji na umeme ni bure.
Hapo jirani na Bonny kwani unalipa sh ngapi? Maana hapa unaweza hata kupunguziwa nusu nzima, tiles mpaka nje zimetapakaa.
Nini kaka[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ha ha ha mzee unataka kunihamishia jiran yangu kwelii upendo wa wapi huo?
Sie wabonde hatuchepukiMmmmmh!!! Ngoja tu nikubali kishingo upande.
Shemeji hata usiulize, hebu fanya mpango haraka nihamie hapo.
We hautaki nihamie pazuri zaidi!?Mbona kama tangazo hili swahiba umekuwa dalali siku hzi
Sawa antiJitahidi antie yangu.
Hah ha ha ha ha shemeji yake espy kaamua kutoa ya moyon sasa kumbe jiran yangu huwa anapiga sana kelel mie huwa sisikii maana namie nakuwa busy na kelele zangu za maombiMkuu unajua shemeji analalamika sana eti majirani wanampiga chabo, sasa namtafutia nyumba yenye uzio na sound proof ili aache kupigia watu kelele kwenye mambo yetu yale.