[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Sitakiiii uchochezi
Ooooh!! Basi shaka ondoa.Uongo kidogo na ukwel sana ili ule uongo uwe kama ladha ya pilipili kwenye chakula
Bonde ipi hyo tena?Sie wabonde hatuchepuki
Shemeji fanya mpango.Nimesikia shemeji anataka kuhama na hapa jirani kuna nyumba ikabidi nimjulishe tu.
Nyumba yenyewe hakuna dalali.
Shemeji fanya mpango.
Mke mwenza ananilaumu nimekukaba sana, hebu leo jitahidi uende.niwe muwazi tu
uwezo wa kumtegua mtu sina shahidi yupo
Kweli kabisa.Aa upendo ni moja ya amri kumi za mwenyez mungu lazima tupendane
Mapendo daima.Ha ha ha mzee unataka kunihamishia jiran yangu kwelii upendo wa wapi huo?
We unajua ipi mkakaBonde ipi hyo tena?
Nazijua zote kuanzia kiole mpaka kwegoleWe unajua ipi mkaka
Nakujuaga jirani yangu ukikataa ndio unataka hivyo, so usijali nishakuelewa.Hapana jiran mie usivushe acha nibakie humu humu kwa kwel
Shemeji jamani mbona unatoa siri sasa!!!Mkuu unajua shemeji analalamika sana eti majirani wanampiga chabo, sasa namtafutia nyumba yenye uzio na sound proof ili aache kupigia watu kelele kwenye mambo yetu yale.
Hapana kwa hili nmeaanisha dunia yangu ya mbwembwe hii hii ya kina max kule kwengne hapanaNakujuaga jirani yangu ukikataa ndio unataka hivyo, so usijali nishakuelewa.
Basi hamna shida shemeji, ngoja nianze kutafuta fuso.Sawa, nitaongea na kaka mwenye nyumba nimjulishe.
Hana shida kabisa, unaweza hata kulipa mwisho wa mwaka.
Sio mim kasema shemeji yako jiranJirani jamani!!!