WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

kila ikifika jioni kikinipiga upepo nakuwaza wewe tu
uliponirogea nikuongeze hela ukaniroge tena
Ohooooo!! Sasa mume wetu utaniletea balaa na mke mwenza. Hebu jitahidi uende, kakae angalau mwezi mmoja tu.
 
Jirani kwakweli nimeghairi, niatapata wapi mie jirani mwema kama wewe!! Hadi nguo unanianulia!
Mie nilikuwa nakuangalia tu jiran ambavyo ulikuwa unatenda dhambi ya usaliti
 
Back
Top Bottom