Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Warudi salama tuu maana sio kwa kupendana huko jamani khaaaSio watu wema hara kidogo aisee.
Morning.
Nakwambia wako busy wanapendana huko waliko.
Ngoja tuwasubiri kama watarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warudi salama tuu maana sio kwa kupendana huko jamani khaaaSio watu wema hara kidogo aisee.
Morning.
Nakwambia wako busy wanapendana huko waliko.
Ngoja tuwasubiri kama watarudi
Hahahhah....unajua mie nimezungukwa na dini ile ingine.Hivi Madame B hyo minuso mbona unaenda peke yako lakin uwe unachukua na ndugu zako mialiko yako asubh kwenye mazoez ukishatoka kwenye daku
Asante sana Sakayo...Na kwako pia..Barikiwa [emoji120] [emoji120]Yo Welcome baby J...
Uwe na jumatatu tulivu
Tuwasubiri tu kwa kweli.Warudi salama tuu maana sio kwa kupendana huko jamani khaaa
Wakina nan tena haoTuwasubiri tu kwa kweli.
Au walienda Kibiti?
Yeye alitangulia kuondoka akaniacha.Si mlikuwa wote kwenye zoezi au
Ahaaa hayo ndio maneno sasa mama ili tukiwa tunaamshna kwenda zoez nafs nyeupeeHahahhah....unajua mie nimezungukwa na dini ile ingine.
Basi kila siku napata mialiko mipya.
Juzi nilialikwa pale King Solomon.
Nilikula na daku tukabeba.
Siku ingine nitawakusanya wooooote, tuende.
Maana sio kwa mchezo mchezo huko.
Basi wewe tulia.Ahaaa hayo ndio maneno sasa mama ili tukiwa tunaamshna kwenda zoez nafs nyeupee
Ha ha ha ha unafikr jamaa anahongeka yule kwel sidhan
Ha ha ha unfikir yule anatekwa anajiteka mwenyewe akiamua kwahyo wala msiwe na presha akiachiwa huko atakuja mwenyewe hukuAsa utamuachaje mwenzio getini?
Ungemwambia hata Daby awasindikize japo nae multi tu.
Umeona sasa, mpaka muda huu haonekani....sijui katekwa na nani!