WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Hivi Madame B hyo minuso mbona unaenda peke yako lakin uwe unachukua na ndugu zako mialiko yako asubh kwenye mazoez ukishatoka kwenye daku
Hahahhah....unajua mie nimezungukwa na dini ile ingine.
Basi kila siku napata mialiko mipya.
Juzi nilialikwa pale King Solomon.
Nilikula na daku tukabeba.

Siku ingine nitawakusanya wooooote, tuende.
Maana sio kwa mchezo mchezo huko.
 
Ahaaa hayo ndio maneno sasa mama ili tukiwa tunaamshna kwenda zoez nafs nyeupee
 
Back
Top Bottom