Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Duuh kwahyo toka juzi mpaka leo bado hajaonekana humu ndan usjal tutaenda mie na wewe hawa wengne tutawahadithia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kwahyo toka juzi mpaka leo bado hajaonekana humu ndan usjal tutaenda mie na wewe hawa wengne tutawahadithia tu
Teh teh teeeeh!!Yapo pia..
[emoji16] [emoji28] [emoji23] kama mie hapo! [emoji23]
Mmmmmh habar jiranNina wivu bado ujue!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I just don't like her [emoji57] [emoji57]
Oooooh!!! Kama sio Shunie basi itakuwa Heaven Sent
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo atatupanga kama maboga ya msimu wa Ramadhan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afu Moderator wa Chitchat ukishiba daku sasa hivi, panda kitandani ulale.
Jana ulifuta baadhi ya comments humu.
Hakukuwa na tatizo lolote.
Mnatutafutiaga shari tu.
Kwahiyo kajifungia mwenyewe pingu.Ha ha ha unfikir yule anatekwa anajiteka mwenyewe akiamua kwahyo wala msiwe na presha akiachiwa huko atakuja mwenyewe huku
Mkuki kwa nguruwe eeh!! Muhimu hamjuani hamna tatizo.Madem wa JF ni hatari aisee...mmoja tu anaweza akatuteka akina ME sote humu....ukiingia inbox tu waambiwa I love u kumbe una wenzako 20 daily wanaambiwa....akina nyambizi taratibuni mtatuua siku si zetu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wacha we!!Hahaha
Usingizi nao mtamu ati, ila ujana ni mtamu zaidi my wii
Nilikula ya peke yangu shemeji, naandamana hadi bonny nae apigwe.
Pole sana mamii.Sijambo kabsaaaaaa.
Nimeamka na uchovu, nimeteguka mazoezini.
Vipi lakini hali yako wewe?
Tunakupenda bero.Yaan mi sipendwi au?? Kwel najua yule mwanamke niliemuacha ndio kanilogezea,,nipenden na mimiiiiiii khaaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Heaven Sent jana kutwa hakuonekana.Oooooh!!! Kama sio Shunie basi itakuwa Heaven Sent
Happy birthday to you fortunata.
Baby joseverest good morning.Ajitokeze mwanamke aniite Baby stress zangu ziishe jamani!![emoji125][emoji125][emoji125]
![]()